Jambo
Jambo, Jambo Bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.
Wageni, mwakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.
Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.
Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata. (mpaka mwisho)
Hello
Hello, Hello Sir,
How are you,
Very fine.
Foreigners, you're welcome,
In our Kenya there is no problem.
Kenya is a beautiful country,
There is no problem.
A wonderful country
There is no problem.
A peaceful country,
There is no problem.
There is no problem,
There is no problem.
Everybody,
There is no problem,
Are welcome,
There is no problem.
There is no problem,
There is no problem. (till end)
African Music еще тексты
Другие названия этого текста
- African Music - Jambo Bwana (0)
- Them Mushrooms - Jambo Bwana (0)
- Ladysmith Black Mambazo - Jambo Bwana (0)
Оценка текста
Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 1