Гуру Песен Популярное
А Б В Г Д Е Ж З И К Л М Н О П Р С Т У Ф Х Ц Ч Ш Э Ю Я
# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

ali kiba - run dunia | Текст песни

Sikatai yule muonyesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenza

lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza

mwenzio mimi ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa

ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma eh

fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda

ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima

haya uliyofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama

kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona

ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye..

mimi na yeye

kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue

kwanini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa

najua mwanamke akipenda, huwa...kapenda kweli

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run duniaaaa

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run duniaaaa

feel free to love

feel free to love

wajua kuna waliobadilisha dini na yote sababu ya kupenda

na kuna waliokimbia... hii dunia... sababu hiyohiyo kupenda

yule alikupenda sana, ninajua na mambo mengi umefanya ilala

Best wangu nilimpendaaaa.. umefanya mpaka sasa kajiua

fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda

ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima

haya uliyofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama

kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona

ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye..

mimi na yeye

kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue

kwanini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa

najua mwanamke akipenda, huwa...kapenda kweli

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run duniaaaa

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run duniaaaa

feel free to love

feel free to love

ali kiba еще тексты

Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 1
Видео
  • MAPENZI YANA RUN DUNIA - ALI KIBA (NEW 2012 ... MAPENZI YANA RUN DUNIA - ALI KIBA (NEW 2012 ...
    Ally Kiba Performing Live At The Sporah Show' Studios.! Full Interview Coming Soon On The ...
  • Ali kiba - Mapenzi yana run dunia [NEW] Ali kiba - Mapenzi yana run dunia [NEW]
    ali kiba - mapenzi yana run dunia - this is not my song' but i love it so i though i ...
  • Ali Kiba - Mapenzi yana run dunia Ali Kiba - Mapenzi yana run dunia
    Ali Kiba - Mapenzi yana run dunia Listen "Mapenzi yana run dunia" by top artist ...
  • MAPENZI YANA RUN DUNIA ALI KIBA Lyrics by ... MAPENZI YANA RUN DUNIA ALI KIBA Lyrics by ...
    MAPENZI YANA RUN DUNIA ALI KIBA Lyrics by yoseph mhs. yoseph mhs ... gud job ...
  • MAPENZI YANA RUN DUNIA - ALI KIBA (NEW 2012 ... MAPENZI YANA RUN DUNIA - ALI KIBA (NEW 2012 ...
    akongamimiAlex & Mary Ominde ali kiba 2013 ali kiba new songs 2013 Ambassadors of ...
  • MAPENZI YANA RUN DUNIA ALI KIBA NEW 2012 ... MAPENZI YANA RUN DUNIA ALI KIBA NEW 2012 ...
    MAPENZI YANA RUN DUNIA ALI KIBA NEW 2012 YouTube. cyntier phats ...