pombe ni kichwa kinauma, kishalewa, anajipoza na maji na mimi hata muda sina, nishamkanya, ninasikiza mamelody Nishamwambia nini wewe, kupenda sana utakuwa chizi hayanaga mjuzi yahwe, kila mtu analilia mapenzi
karibu chama la bachelor, ukinipenda, namaliza leo leo tu siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana, ishakuwa poa poa tu hakunaga mapenzi yale, yakugandana ni zama za kale money on the table now, kinachofata ni mimi na wewe, na wewe
who the single boy, I am a single boy who the single boy, mi naye single boy who the single boy, mi na we single boy who the single boy, single single single boy who the single boy, I am a single boy who the single boy,we the single boy who the single boy, mi na we single boy who the single boy, single single single boy who the single boy I am a single boy
[Jay dee] Nimemkuta analia, kajilaza, sababu amechoka Mengi amevumilia, yalomkwaza, anataka kuondoka ana siku ya pili sasa, hajarudi nyumbani kulala, namuonea huruma sana, haya mapenzi hayana maana
karibu chama bachelor, ukinipenda, namalizana leoleo tu siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana, ishakuwa poa poa tu hakunaga mapenzi yale, yakugandana ni zama za kale money on the table now, kinachofata ni mimi na wewe