Гуру Песен Популярное
А Б В Г Д Е Ж З И К Л М Н О П Р С Т У Ф Х Ц Ч Ш Э Ю Я
# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Christopher Tin - Baba Yetu (Civilization IV OST) | Текст песни

CHORUS
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina!
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe.
(x2)

Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, milelea milele!

CHORUS

Ufalme wako ufike utakalo
Lifanyike duniani kama mbinguni. (Amina)

CHORUS

Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, simovu mwehu (?)

Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe.
(x2)

Christopher Tin еще тексты


Другие названия этого текста
  • Christopher Tin - Baba Yetu (Civilization IV OST) (1)
  • Christopher Tin - Baba Yetu (Dubai Fountain) (0)
  • Christopher Tin - Baba Yetu (Civilization V OST) (0)
  • Christopher Tin feat. Soweto Gospel Choir - Baba Yetu (0)
Видео
Нет видео
-
Оценка текста
Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 3