(Swahili) Baba yetu, yetu uliye Mbinguni yetu, yetu amina! Baba yetu yetu uliye Jina lako litukuzwe. Utupe leo chakula chetu Tunachohitaji utusamehe Makosa yetu, hey! Kama nasi tunavyowasamehe Waliotukosea usitutie Katika majaribu, lakini Utuokoe, na yule, muovu e milele!
Ufalme wako ufike utakalo Lifanyike duniani kama mbinguni. (Amina)
(English) Our Father, who art in Heaven. Amen! Our Father, Hallowed be thy name. Give us this day our daily bread, Forgive us of our trespasses As we forgive others Who trespass against us Lead us not into temptation, but deliver us from the evil one forever.
Thy kingdom come, thy will be done On Earth as it is in Heaven. (Amen)