(Swahili) CHORUS Baba yetu, yetu uliye Mbinguni yetu, yetu, amina! Baba yetu, yetu, uliye Jina lako litukuzwe. (x2)
Utupe leo chakula chetu Tunachohitaji utusamehe Makosa yetu, hey! Kama nasi tunavyowasamehe Waliotukosea usitutie Katika majaribu, lakini Utuokoe, na yule, milelea milele!
CHORUS
Ufalme wako ufike utakalo Lifanyike duniani kama mbinguni. (Amina)
CHORUS
Utupe leo chakula chetu Tunachohitaji utusamehe Makosa yetu, hey! Kama nasi tunavyowasamehe Waliotukosea usitutie Katika majaribu, lakini Utuokoe, na yule, simama mwehu
Baba yetu, yetu, uliye Jina lako litukuzwe. (x2)
(English) Our Father, who art in Heaven. Amen! Our Father, Hallowed be thy name.
Give us this day our daily bread, Forgive us of our trespasses As we forgive others Who trespass against us Lead us not into temptation, but deliver us from the evil one forever.
Thy kingdom come, thy will be done On Earth as it is in Heaven. (Amen)