Гуру Песен Популярное
А Б В Г Д Е Ж З И К Л М Н О П Р С Т У Ф Х Ц Ч Ш Э Ю Я
# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Civilization IV - Intro | Текст песни

Baba yetu, Yesu uliye
Mbinguni yetu, Yesu, amina!
Baba yetu, Yesu, uliye
Jina lako litukuzwe.

Baba yetu, Yesu uliye
Mbinguni yetu, Yesu, amina!
Baba yetu, Yesu, uliye
Jina lako litukuzwe.

Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, milelea milele!

Baba yetu, Yesu uliye
Mbinguni yetu, Yesu, amina!
Baba yetu, Yesu, uliye
Jina lako litukuzwe.

Baba yetu, Yesu uliye
Mbinguni yetu, Yesu, amina!
Baba yetu, Yesu, uliye
Jina lako litukuzwe.

Ufalme wako ufike utakalo
Lifanyike duniani kama mbinguni. (Amina)

Baba yetu, Yesu uliye
Mbinguni yetu, Yesu, amina!
Baba yetu, Yesu, uliye
Jina lako litukuzwe.

Baba yetu, Yesu uliye
Mbinguni yetu, Yesu, amina!
Baba yetu, Yesu, uliye
Jina lako litukuzwe.

Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, simama mwehu

Baba yetu, Yesu, uliye
Jina lako litukuzwe.

Baba yetu, Yesu, uliye
Jina lako litukuzwe.

Другие названия этого текста
  • Civilization 4 - Main theme (0)
  • Civilization IV - Intro (0)
Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 1
Видео
  • Civilization 4 Intro Video HD Civilization 4 Intro Video HD
    This was my first civilization game, I remember playing this game for hours straight with my dad ...
  • Sid Meier's Civilization IV INTRO Sid Meier's Civilization IV INTRO
    The gaming genius Sid Meier presents CIVILIZATION IV. Check out the introduction here!
  • Civilization IV: "In The Beginning" Civilization IV: "In The Beginning"
    The telling of the formation of Earth and the rise of man as told in Sid Meier's Civilization IV ...
  • Civilization IV Theme Song Civilization IV Theme Song
    Civilization IV theme song. The song is called "Baba Yetu". Enjoy :) DOWNLOAD LINK: http ...
  • Civilization V Intro - HD Civilization V Intro - HD
    Civilization 5 Intro - HD. ... epicgamer9000 4 months ago ... so i have civ 5 with all dlcs ...
  • Civilization 4 Warlords - Intro Civilization 4 Warlords - Intro
    Civilization 4: Warlords gameplay/commentary- Starting a lets play ... Civilization: Beyond ...