We niache niende niende!..
Uh, usiniulize kwanini
Sababu utanizingua
Ukitaka jiunge na mimi
Kama ni pesa we kunywa nitanunua
Mi mwanzo sikuamini
Nikajuaga vya kuzua
Kumbe mjinga ni mimi
Ninayetunza wenzangu wanachukua
Oh mapenzi (mapenzi)
Yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Mie siwezi
Walionikuta waniache nisemee jina
Oh mapenzi (mapenzi)
Yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Na nina mengi
Ah yamenikaa moyoni
Leo nataka kulewa (Lewa)
Mi nataka kulewa (Lewa)
Nataka kulewa (Lewa)
Zikipanda nimwage radhi
We niache niende niende!..
Mi kwa mapenzi maskini
Nikamvisha na pete kwa kumuoa
Kukata vilimi limi
Vya wazushi wanafiki wanaomponda
Kumbe mwenzangu na mimi
Ni bure tu unajisumbua
Si tuko kama ishirini
Mabuzi ving'asti wengine anawahonga
Oh mapenzi (mapenzi)
Yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Mie siwezi,
Walionikuta waniache nisemee jina
Oh mapenzi (mapenzi)
Yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Na nina mengi
Ah yamenikaa moyoni
Leo nataka kulewa (Lewa)
Mi nataka kulewa (Lewa)
Nataka kulewa (Lewa)
Zikipanda nimwage radhi
We niache niende niende!..
Diamond Platnumz еще тексты
Оценка текста
Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 2