Sura yake mtaratibu mwenye macho ya aibu kumshahau najaribu ila namkumbuka sana Umbo lake mahabibu kwenye maradhi aliyonitibu siri yangu kaharibu bado namkumbuka sana Kibwagizo: Alonifanya silali, jua kali nimtafute tukale lakini hata kujali darling akatekwa na wale alonifanya silali jua kali nimtafute tukale ila wala hakunijali darling ah khaaaaa
Ntampata wapi kama yule niliompendaga sana ntampata wapi kama yule na anipende sana Ntampata wapi kama yule niliompendaga sana ntampata wapi kama yule anipende sana
Ai nyota aah nyota ndio tatizo langu eh nyota aaah mpaka nalia peke yangu ai nyota aah nyota ndo shida yangu nyota aah wamenizidi wenzangu alidanganywa na wale wenye pesa, nyumba, gari mi kapuku hakunijali akanikimbia alidanganywa na wale wa mapesa, nyumba, gari m ungaunga hakunijali akanikimbia Kibwagizo: Aliyenifanya silali, jua kali nimtafute tukale lakini hata kujali darling akatekwa na wale alonifanya silali jua kali nimtafute tukale ila wala hakunijali darling ah khaaaaa
Ntampata wapi kama yule niliompendaga sana sana ntampata wapi kama yule na anipende sana Ntampata wapi kama yule niliompendaga sana ntampata wapi kama yule anipende sana
Bado ananijia ndotoni ila nikiamka simuoni bado ananijia nikilala haki ya Mungu siyo masihara Bado ananijia ndotoni ila nikiamka simuoni bado ananijia nikilala haki ya Mungu siyo masihara hii ni sauti ya rais iliyomshindaga ibilisi kwa mwanadamu siyo rahisi na waambie lazima ujue kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha kuna X na kuzidisha vicheche bado ananijia nikilala haki ya Mungu siyo masihara