Гуру Песен Популярное
А Б В Г Д Е Ж З И К Л М Н О П Р С Т У Ф Х Ц Ч Ш Э Ю Я
# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Geoff Knorr - Ujuba na takaburi' - Scramble for Africa Scenario Music | Текст песни

Ujuba na takaburi, uli kwenu walikuwa
ya kufanyiza jeuri, ya kupiga na kuua
Leo hapana shauri, kuuza wala kununua
illa ni kufilisiwa, hadi ni kuza sahani.

Ati wale wakisema, Unguja tutanunua,
Kulla penyi rumba njema, mwenyewe tutamtoa
Leo kanda la mtama, nyumbani lawasumbua
illa ni kufilisiwa, hadi ni kuza sahani.

English

You came here (africa) from your land in arrogant tyranny and overbearing pride ,
your coming was marked with violence and bloodshed...
we are not able to trade and make a living as we used to before...
We are so poor that we have to sell our plates...

If you come here thinking that you will simply bribe and buy zanzibar from us,
we will cut short your festivities and dance ,
and send you home to eat like poor men do,
then you will be poor to the point of selling your plates...

http://www.geoffknorr.com/scramble-for-africa-scenario/

Geoff Knorr еще тексты


Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 1
Видео
Нет видео
-