Гуру Песен Популярное
А Б В Г Д Е Ж З И К Л М Н О П Р С Т У Ф Х Ц Ч Ш Э Ю Я
# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

JACKY (JACKLINE NTUYABALIWE) - NALIA KWA FURAHA | Текст песни

Chorus:
Mbona wanitazama kisha waanza kulia
kama nimekukosea,naomba unisamehe.
Hapana hujanikosea,ninalia kwafuraha
Mapenzi unayo nipa sijawahi kupata.(2 times)

unaposogea karibu,unaponishika mikono
unaponitazama machoni,nashindwa kuvumilia.
Mapenzi unayonipa,sijawahi kupata
Najiuliza ni kwanini,hatukujuana mapema.
Nimeishi nawasiojuwa mapenzi,wasiojuwa hata kunyenyekea,nimeishi na wanaojuwa ku force
wasiojuwa ,hata kubembeleza.
Napokuwa na wewe,najiona ndiyo mwenyewe.
Hata kama sina pesa,najiona tajiri
Hata kama sijala,najiona nimeshiba.

BTC

Naomba mungu atjalie,tufunge ndowa mimi na wewe
Na watoto ,pia tuzae,
wakuite baba nami mama
Maisha yangu bila wewe,ni sawa na basi bila konda
Maisha yangu bila wewe,mbele sitosonga

Nabado,nabado,sijafika mwisho
na bado ,nabado sijamaliza kisabu
Ukivumilia maisha yangu,utakula vyakwangu
Mimi si wale wanaojisifu kwa ngono
Mapenzi si maneno ,mapenzi ni vitendo.
Nabado nabado,nimesema bado

BTC

JACKY (JACKLINE NTUYABALIWE) еще тексты


Видео
  • BUSHOKE FT K-LYNN - NALIA KWA FURAHA BUSHOKE FT K-LYNN - NALIA KWA FURAHA
    BUSHOKE FT K-LYNN - NALIA KWA FURAHA. Melodie Sans M ... Bushoke ft ...
Оценка текста
Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 1