ukiwasha nare Mathare 'taonja vibare mi si mnati, si barbie, niko tu katikati staki kuskiza story za charity, charity nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity sema oh
Juu tuko works mzeiya evacuate the area Juu tuko works mzeiya
Serikali haijali so naona mbwa kali afadhali dame amejam juu dough haikam na siwezi kum-show ati life ni exam juu ntatupiwa sufuria na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi so nikikupita tao, tao jua sio madharau-rau
Juu tuko works mzeiya evacuate the area Juu tuko works mzeiya
nipe, nipe nafasi nikueleze kiasi vile sisi hufanya pande hii ya the tracks hatuchezi na kazi usipoteze wakati tumekunja mashati
Juu tuko works mzeiya evacuate the area Juu tuko works mzeiya
Juu tuko works mzeiya evacuate the area Juu tuko works mzeiya
Juu tuko works mzeiya evacuate the area Juu tuko works mzeiya
Juu tuko works mzeiya evacuate the area Juu tuko works mzeiya
nipe, nipe nafasi nikueleze kiasi vile sisi hufanya pande hii ya the tracks