Гуру Песен Популярное
А Б В Г Д Е Ж З И К Л М Н О П Р С Т У Ф Х Ц Ч Ш Э Ю Я
# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Khadja Nin - Free (Sina Mali, Sina Deni) | Текст песни

Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto


Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua


Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma

I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori


Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona


I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona


Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni

Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 1
Популярное сейчас
Видео
  • Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free) (Burundi ... Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free) (Burundi ...
    Woman's body, woman's soul, woman's freedom. ~~~ Ahiya, Ahiya Kwa baraka Mimi ...
  • I´m Free - Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni I´m Free - Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni
    I´m Free - Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni ... Nice rendition of "Free", originally written ...
  • Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free) Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free)
    https://secure.wikimedia.org/wikipedia/de/wiki/Khadja_Nin.
  • Free Women & Kids Free Women & Kids
    Khadja Nin is a Burundi-born singer and musician. http://www.khadja-nin.com/ Khadja ...
  • Khadja Nin ( Burundi) - Mama Khadja Nin ( Burundi) - Mama
    Khadja Nin (born June 27, 1959) is a Burundian singer and musician. She was born in ...