tangu iraki mpaka amerika wako karibu yakufunga vita mi mama mzazi nauliza ni nani ata linda watoto wetu bwana hussein anasema: "nataka salaam" mi si aminiye neno ile damu yaliyo mwangiwa ni ya wadogo na watoto tu
mimi huyu nakosa njiya yakusikika kwa wakubwa kwa hakika tulijioneya vita ya kwanza ilizala fitina bwana hussein anasema: "nataka salaam" mi si aminiye neno ile damu yaliyo mwangiwa ni ya wadogo na watoto tu
nakata matumaini ju kwa vile naona wakubwa hawajali macozi ya mutu mudogo analiya wake siraha ya amani ilikuta kwake mr.clinton anasema: "nataka salaam" mi si aminiye neno ile damu yaliyo mwangiwa ni ya wadogo na watoto tu
mr.clinton anasema: "nataka salaam" mi si aminiye neno ile damu yaliyo mwangiwa ni ya wadogo na watoto tu