Гуру Песен Популярное
А Б В Г Д Е Ж З И К Л М Н О П Р С Т У Ф Х Ц Ч Ш Э Ю Я
# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (free) | Текст песни

Ahiya, Ahiya

Kwa baraka

Mimi napona

Kabisa, ni hajabu

Sina mwili tena

Niko sawa upepo

Mimi masikini

Sina mali mali, sina deni

Mali yangu baba

Ina nyesha kama mvua

Ina ruka kama ndege

Ina cheka kama mtoto

Ahiya, mam'ahiya

Sina haja,ya kitu,

mimi napona

I'm free, kama maji

Anatembeya mpaka katika pori

Mimi, mi masikini

Sina mali mali, sina deni

Mali yangu baba

Ina ota kama maua

Ina pita kama nyota

Ina waka kama jua

Pole pole mama

Wakati wangu umefika, mimi napona

I'm free, kama hewa

Ina ingiya mpaka fasi inapenda

Mimi, ni masikini

Sina mali mali, sina deni

Mali yangu baba

Ina ona kama macho

Ina waka kama moto

Ina lia kama ngoma

I'm free kama maji

Ana tempaka mpaka kati ya pori

Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji

Kama mimi leo, mimi napona

I'm free, I'm free

Kama mimi leo, mimi napona

Ahiya Mam'ahiya

sina mali, Mungu, sina deni

Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 1
Видео
  • Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free) (Burundi ... Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free) (Burundi ...
    Woman's body, woman's soul, woman's freedom. ~~~ Ahiya, Ahiya Kwa baraka Mimi ...
  • Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free) Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free)
    Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free). glaubdir. SubscribeSubscribed Unsubscribe ...
  • I´m Free - Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni I´m Free - Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni
    I´m Free - Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni. Siri Weltenseglerin. Subscribe ...
  • Khadja Nin ~ Sina Mali, Sina Deni 1996 Khadja Nin ~ Sina Mali, Sina Deni 1996
    http://www.khadja-nin.com/ ... Khadja Nin ~ Sina Mali, Sina Deni 1996 ... Khadja ...