CHORUS LYRICS: I just wanna groove to the beat all night I just wanna groove to the beat all night now move to the left, pole pole now move to the right, pole pole now move to the back, pole pole now move to the front, pole pole
VERSE 1 LYRICS: MCs tafadhali please take note recipe ya kutengeza hit songs doesn't matter language unaongea ikiwa poa ni poa itatoklezea Genge pigeon ki Zulu, Lingala kiswahili Kizungu msee make sure una-keep simple, females ka-smile na ka-dimple beat usiokote kwa studio ya barabara make sure uko na mdundo wa ki-biashara ka hii, saa hii, ona vile watu wanajirusha ki Masai okay don't get too excited bana tulia wacha kujichocha tu sana make chorus i-catch vifiti, skia chorus amka kwa hiyo kiti
CHORUS LYRICS: I just wanna groove to the beat all night I just wanna groove to the beat all night now move to the left, pole pole now move to the right, pole pole now move to the back, pole pole now move to the front, pole pole
VERSE 2 LYRICS: Nafanya hii mziki ina-sound ki sisi nafanya i-look so so so so easy ona vile watu wanazitoka mdogo mdogo bila ata kuchoka haya MC bado sijamaliza, kwa radio najua unaiskiza three piece na-hope umewadropia ka hujui hiyo ni nini please skia song instrumental na capela ngoma waifanye justice wakiwa wera very important music video sector lazima u-invest tu pesa MTV station zote zitacheza hii choreography fiti tu na wadhii nayo nayo, nayo nayo, chorus Annette tu ndio mshee
CHORUS LYRICS: I just wanna groove to the beat all night I just wanna groove to the beat all night now move to the left, pole pole now move to the right, pole pole now move to the back, pole pole now move to the front, pole pole
VERSE 3 LYRICS: Na ukienda out tonight behave tafadhali kunywa na mpango usilewe chakari tonight nadunda na amani na George hiyo outfit ni kali mine usikanyage viatu zangu za white party all of a sudden ikageuka fight what's up with the bouncer? Mbona hakatiki? vile ananicheki na-feel ni ka niko Kamiti lipa bill, usihepe nazo tip waiter kitu ka soh tano leo mi sitaki mambo mingi naskia raha usichokeshe mimi kwa dancefloor tu nakungoja tengeza line tu-dance pamoja enjoy ngoma, haya pole pole pole pole...