Jambo, jambo bwana Habari gani, mzuri sana Tuimbe tucheze sote Kiswahili ni lugha ya Africa Leo tufurahi hakuna matata Reggae babu kubwa hakuna matuta Burudani sali -- hakuna matuta Aah tucheze sote -- hakuna matuta
Kiswahili ndlo lugha yetu ya Africa Upende usipende utapenda kwa hakika Michael Jackson kaimba Kiswahili Lionel Richie kamfuata ni wa pili Mukae vivyo hivyi siku zote kwa amani Maisha Africa yatakua na thamani
Tuimbe tucheze tuseme Kiswahili Supu ya uyoga ni tamu kwell kwell