Гуру Песен Популярное
А Б В Г Д Е Ж З И К Л М Н О П Р С Т У Ф Х Ц Ч Ш Э Ю Я
# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Safari Sound Band - Malaika | Текст песни

Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika

Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Ningekuoa mama we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika

Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Ningekuoa mama we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika

Safari Sound Band еще тексты


Видео
  • The Safari Sound Band - Malaika The Safari Sound Band - Malaika
    The Safari Sound Band - Malaika ... Safari Sound Band - Mamake Asiya ( Chakacha ...
  • Safari Sound Band - Mama Sofia [Mama Sofia] Safari Sound Band - Mama Sofia [Mama Sofia]
    This is a cover by Safari Sound Band Mama Sofia! ... Malaika & Mama Sofia sung by the Van ...
  • Safari Sound Band - Jambo Jambo Safari Sound Band - Jambo Jambo
    Safari Sound Band - Jambo Jambo ... Safari Sound Band - Mamake Asiya ( Chakacha ...
  • The Safari Sound Band - Nakupenda Wewe The Safari Sound Band - Nakupenda Wewe
    The Safari Sound Band - Nakupenda Wewe. TheFreemsn. SubscribeSubscribed Unsubscribe ...
  • The Safari Sound Band - Ahsante Sana The Safari Sound Band - Ahsante Sana
    The Safari Sound Band - Ahsante Sana ... Safari Sound Band - Mamake Asiya ...
Оценка текста
Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 1