Гуру Песен Популярное
А Б В Г Д Е Ж З И К Л М Н О П Р С Т У Ф Х Ц Ч Ш Э Ю Я
# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Sauti Sol - Lazizi | Текст песни

"Lazizi"

lazizi wangu wee
zawadi nono kutoka mbinguni
nakuwaza my baby
nikikuwaza usiku silali

nikikuona na wengine nashikwa na wivu
naomba unipe namba yako nikuvutie wire
nikupeleke Java
tunywe kahawa
tukizubaa duba duba

mukhali wanje wee
shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye
ndakhuyanza my baby
shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye

nikikuona na wengine nashikwa na wivu
naomba unipe namba yako nikuvutie wire
nikupeleke Java
tunywe kahawa
tukizubaa duba duba

zunguka zunguzukane
nikitafuta kama wewe
nina-feel so nice
unanipa mi amani
mbele baby
sioni njia bila wewe
wewe lazizi

nikikuona na wengine nashikwa na wivu
naomba unipe namba yako nikuvutie wire
nikupeleke Java
tunywe kahawa
tukizubaa duba duba
mazoe manana, kadongangaeuta na lola
nakanisakayo cheri nanga
soki yo tena nzanga kapongi

nikikuona na wengine nashikwa na wivu
naomba unipe namba yako nikuvutie wire
nikupeleke Java
tunywe kahawa
tukizubaa duba duba


Sauti Sol еще тексты


Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 2
Видео
  • Sauti Sol - Lazizi Sauti Sol - Lazizi
    The first single from Sauti Sol's debut album "Mwanzo". Directed and edited by: Lisa ...
  • Lazizi - Sauti Sol Lazizi - Sauti Sol
    Sorry the audio is bad but I will upload a better version.
  • SAUTI SOL - LAZIZI (Cover song/video by St ... SAUTI SOL - LAZIZI (Cover song/video by St ...
    This song and all its rights are strictly owned by the Sauti sol afro pop band. Sauti Sol is a ...