Гуру Песен Популярное
А Б В Г Д Е Ж З И К Л М Н О П Р С Т У Ф Х Ц Ч Ш Э Ю Я
# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Swahili Nation - Hakuna Matata | Текст песни

Hey mpenzi we, nakupenda sana
Mpenzi nakupenda
Mpenzi nakutaka
Mpenzi nakupenda (mpenzi wangu)
Mpenzi nakutaka (mpenzi wangu)
Mpenzi nakupenda (mpenzi wangu)
Mpenzi nakutaka (mpenzi wangu)
Hey mpenzi we, nakupenda sana
Hey mpenzi we, nakupenda sana
Mpenzi we

Hey mpenzi we, nakupenda sana
Mpenzi we

Verse 1

Mpenzi wangu
Niko hapako nataka bwana sana
Tulikosana
Lakini hizo ni mambo za jana
Leo siku mpya
Tuendelee
Tusahau
Zile makosa
Then we can live and learn
All the precious things then we can earn
Forever, oh my baby wosa
I chose ya, to be my number moja
Through sickness and health
Through poverty and wealth
Living each and every day, baby as it comes
I got a love call to set your ball rolling
I made my plan, change my mind
I had to make you mine

Chorus

Mpenzi, hakuna matata
Kila kitu kitawa sawa sawa
My lover, you don't have to worry
Everything will be alright

Mpenzi we

Verse 2

Nataka tuelewane
Tuache kugombana
Tabia kama yako
Yasio sikilizana
Kwa hivyo wacha tue
Bibi na bwana
Tuendelee mbele
Tuache makelele
Mapenzi yawe tele
Milele na milele
Cuz things ain't right between you and me
Nothing is the way that it is supposed to be
Something needs to be D O N E
Cuz I wanna get it on and kick it right with you
Prove that I am a man who knows what to do
I don't really wanna wait
It might get too late

Chorus

Mpenzi, hakuna matata
Kila kitu kitawa sawa sawa
My lover, you don't have to worry
Everything will be alright

Mpenzi we

Verse 3

Here's my love baby come and take it 2x
Cuz when I come, I come right inside
Me go ask and me shake business ...
Here's my love baby come and take it 2x
I need your loving baby
Can I get it right away
I'll rather not wait
It's been long since you been gone
I've got quality time lady
All reserved just to be with you
Ain't no worries at all
Girl I know just what I got
My lover is you
I wanna be with you
No worries at all
I wanna rock your world
My mpenzi

Repeat Chorus till fade

Mpenzi, hakuna matata
Kila kitu kitawa sawa sawa
My lover, you don't have to worry
Everything will be alright

Mpenzi we

Hey mpenzi


Swahili Nation еще тексты


Видео
  • Hakuna Matata (aka Mpenzi) by Swahili Nation ... Hakuna Matata (aka Mpenzi) by Swahili Nation ...
    Kenya- Hakuna Matata (aka Mpenzi) by Swahili Nation.
  • Csaba Czinkoczky directed Swahili Nation Hakuna ... Csaba Czinkoczky directed Swahili Nation Hakuna ...
    shot in 1997 in Gambia by Csaba Czinkoczky and Zsolt Czinkoczky.
  • Swahili Nation/ So Hot Swahili Nation/ So Hot
    Swahili Nation music video. ... 3:20. Csaba Czinkoczky directed Swahili Nation Hakuna Matata ...
  • Swahili Nation (African Legendary Super Group ... Swahili Nation (African Legendary Super Group ...
    swahili nation return at sauti sol concert in uganda weekly vlogs of ugandan entertainers in all ...
  • Swahili Nation - Chaka cha (Featuring Chameleone ... Swahili Nation - Chaka cha (Featuring Chameleone ...
    New music video from Swahili Nation! ... Csaba Czinkoczky directed Swahili Nation Hakuna ...
  • Tanzania Hakuna Matata Tanzania Hakuna Matata
    Sonia, Tere y Paco in Tanzania. From June 20th to July 5th, 2015. We visited Dar es Salaam ...
Оценка текста
Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 1